Jipime Kijerumani ChakoJipime Kijerumani Chako

Ikiwa unataka kujisajili kwa ajila ya kozi ya Lugha ya Kijerumani katika Taasisi yetu ya Goethe unashauriwa kufanya jaribio lakukuwezesha kujua una utalamu kiasi gani wa Lugha ya Kijerumani.


Hapa unaweza kugundua una ufahamu kiasi gani cha lugha ya Kijerumani.Je una kiwango cha awali au cha juu?Jaribio hili litakupatia muelekeo wa awali kuhusu namna unavyoelewa kwenye maandishi na matamshi.Na uelewa wako katika sarufi na misamiati ya Lugha ya Kijerumani.


Ili kiwango chako cha ubora wa lugha ya kijerumani kitambulike na uweze kukithibitisha kimataifa tunapendekeza vyeti vyenu vya Taasisi ya Gouethe katika viwango vya A1 mpaka C2.

Anza

Ikiwa ungependa kujiandikisha katika kozi ya Kijerumani katika Goethe-Institut au kufanya mtihani wa Goethe-Institut, unapaswa kufanya mtihani wa kina katika Goethe-Institut katika eneo lako au katika mojawapo ya taasisi za washirika wetu.


Pata kujua mitihani yetu mtandaoni:


Goethe-Test PRO: Deutsch für den Beruf

Kijerumani:
Kiingereza:


WANT TO IMPROVE YOUR GERMAN EVEN MORE?
At the 14 locations of the Goethe-Institut in Germany and Austria you can learn German in our courses from A1 to C2. Whether you are a beginner or a language professional - we have the right course for everyone. Subscribe to our newsletter now and stay informed about our language course offerings.




I will subscribe to the newsletter with information about the services and offers of the Goethe-Institut.
You will find information on the measurement of success, your right of revocation and the logging of the registration in our data protection regulation. Registration is voluntary and can be revoked at any time.