Foto (Ausschnitt): VGstockstudio/ Shutterstock.com
Tangu mwaka 2009 , mkataba wa haki za ulemavu umetumika nchini Ujerumani. Sheria inasema kwamba watu wenye ulemavu wanapaswa kuwa na ushiriki sawa katika jamii.
Ujerumani, kwa mfano, juhudi zimefanyika kuhakikisha kwamba watumiaji wa viti vya magurudumu wanaweza kuendesha katika majengo yote ya umma au hata kuingia katika mabasi na tramu bila matatizo yoyote. Mara myingi kuna sehemu zilizoinuka za tambarare.
Watu wasioona wanaweza kutambuliwa kwa ishara zao. Huwa na kitambaa cha njano chenye doti tatu nyeusi . Maranyingi huvaa kitambaa hicho mkononi na huwa na fimbo au mbwa anaowaongoza.
Taa za barabarani hutoa ukelele fulani, kisha watu wasioona wanaweza kujua wakati wanaoweza kuvuka barabara. Maandishi maalumu kwa wasioona pia hupatikana katika majengo mengi ya umma.
Ikiwa haki hazijaheshimiwa , inaweza kuwa wakati mwingine kuna ubaguzi . Angalia sehemu hii kwenye tovuti yetu.