Goethe-Institut e. V.
Oskar-von-Miller-Ring 18
80333 Munich
Telephone: +49 89 15921-0
info@goethe.de
www.goethe.de
Mahakama ya Wilaya ya Munich, Usajili wa Shirika 5007
DE 129516430
Bodi ya Utendaji: Johannes Ebert, Rainer Pollack
Jakob Racek
Abteilungsleitung Information
Goethe-Institut e. V.
Oskar-von-Miller-Ring 18
80333 München
Makala zinazotolewa kwa jina si lazima kuwa zinawakilisha maoni ya wahariri.
Goethe-Institut e. V. ni shirika linalofanya kazi zake duniani kwa malengo ya kukuza lugha ya Kijerumani nchi za nje, kudumisha ushirikiano wa kimataifa katika nyanja za utamaduni, na kutoa taswira pana ya Ujerumani ikiwa ni pamoja na utamaduni wake, shughuli za kijamii na kisiasa.
Shirika hufanya kazi kwa utaratibu uliowekwa na Kanuni na Miongozo yake na ambayo msingi wake ni makubaliano yaliyofikiwa baina yake na Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani.
Tamko hili ya kisheria pia linahusu uwepo mkamilifu wa Goethe-Institut kwenye mitandao ya kijamii mahsusi kwa nchi au Taasisi, kwa mfano, kurasa zetu za Facebook, akaunti zetu za Twitter na chaneli zetu za Youtube.
Tume ya Ulaya imetoa jukwaa kwa ajili ya usuluhishi wa mizozo kwa njia ya mtandao (ODR) ambalo linaweza kufikiwa kupitia anuani http://ec.europa.eu/consumers/odr/. Watumiaji wa huduma wanaweza kutumia jukwaa hili kusuluhisha mizozo yao. Tupo tayari kushiriki katika taratibu za kisheria za utatuzi wa mizozo kwenye ya bodi ya usuluhishi wa mizozo ya watumiaji wa huduma. Bodi hii yenye uwezo wa kisheria inaitwa Universalschlichtungsstelle des Bundes am Zentrum für Schlichtung e.V., Straßburger Straße 8, 77694 Kehl am Rhein, Deutschland, www.universalschlichtungsstelle.de.