Maendeleo ya kitaaluma kwa walimu wa lugha ya Kijerumani

Iwe umevutiwa na utamaduni, mbinu na maarifa ya kufundishia, au kuboresha stadi zako za lugha - Goethe-Institut huandaa  kozi maalumu zenye kujitosheleza za maendeleo ya kitaaluma kwa walimu wa lugha ya Kijerumani.

Juu