Kozi za kawaida na za haraka

Junge Leute lachen und klatschen sich ab. Sie halten Schnellhefter, Tablets und Handys in der Hand.
  • mazingira halisi ya maisha
  • mara 4 hadi 5 kwa wiki
  • shiriki katika kikundi

Jifunze Kijerumani kwa  weledi:  Goethe-Institut inatoa kozi kwa viwango na umakini. Mara baada ya mtihani wa kujipima,  utaanza kozi katika  ngazi ya umahiri iliyo sahihi kwako . Endapo  huna maarifa yoyote ya awali ya lugha ya  Kijerumani, utajiandikisha moja kwa moja katika ngazi A1.1

Kozi Zetu

Kozi ya haraka - Anayeanza

  • A1 na A2
  • Wiki 5
  • Vipindi 5 kwa wiki
  • Vipengele 125 vya mafunzo

Kozi ya haraka - Kwa wabobevu

  • B1.1, B1.2, B2.1 na B2.2
  • Wiki 4
  • Vipindi 5 kwa wiki
  • Vipengele 90 vya mafunzo

Kozi ya taratibu - Anayeanza

  • A1, A2
  • Wiki 8
  • Mara 5 kwa wiki
  • Vipengele 120 vya mafunzo

Kozi ya taratibu - Kwa wabobevu

  • B1.1, B1.2, B2.1 na B2.2
  • Wiki 6
  • Mara 5 kwa wiki
  • Vipengele 90 vya mafunzo

Maswali? Tupo hapa kusaidia: