Kwanini ujifunze Kijerumani?
Sababu 10 za kujifunza Kijerumani

Chochote unachopanga maishani, ujuzi wa Kijerumani utakuongezea uwezekano. Unapojifunza Kijerumani unajiongezea wigo wa ya stadi zinazoweza kukuza ubora wa kazi zako na maisha yako binafsi:

  • <b>Biashara:</b> Kujua lugha ya mshirika wako wa kibiashara kutoka Ujerumani kutaboresha mahusiano yenu na hivyo kutoa fursa kwa mawasiliano yenye tija na mafanikio. © colourbox.com
    Biashara: Kujua lugha ya mshirika wako wa kibiashara kutoka Ujerumani kutaboresha mahusiano yenu na hivyo kutoa fursa kwa mawasiliano yenye tija na mafanikio.
  • <b>Ajira duniani kote:</b> Kujua Kijerumani kunaongeza fursa za ajira kutoka makampuni ya Kijerumani au makampuni ya kigeni nchini kwako au nchi za nje. Ujuzi wa Kijerumani utakusaidia kiufanisi kwa mwajiri mwenye mitandao ya biashara duniani. Foto: Getty Images/Adam Gault
    Ajira duniani kote: Kujua Kijerumani kunaongeza fursa za ajira kutoka makampuni ya Kijerumani au makampuni ya kigeni nchini kwako au nchi za nje. Ujuzi wa Kijerumani utakusaidia kiufanisi kwa mwajiri mwenye mitandao ya biashara duniani.
  • <b>Sekta ya Utalii:</b> Watalii kutoka nchi zinazozungumza Kijerumani husafiri kwa mapana na marefu, na ndiyo wanaoongoza duniani kwa kutumia fedha nyingi wanapokuwa likizoni. Watafurahi zaidi endapo watahudumiwa na wafanyakazi na waongoza watalii wanaoongea Kujerumani. © Fotolia / corbisrffancy
    Sekta ya Utalii: Watalii kutoka nchi zinazozungumza Kijerumani husafiri kwa mapana na marefu, na ndiyo wanaoongoza duniani kwa kutumia fedha nyingi wanapokuwa likizoni. Watafurahi zaidi endapo watahudumiwa na wafanyakazi na waongoza watalii wanaoongea Kujerumani.
  • <b>Sayansi na Utafiti:</b> Kijerumani ndio lugha ya pili inayotumiwa sana kisayansi. Ujerumani ni mshiriki mkubwa wa tatu katika utafiti na maendeleo na inatoa ushirika wa utafiti kwa wanasayansi kutoka nje ya nchi. Foto: PantherMedia / Darren Baker
    Sayansi na Utafiti: Kijerumani ndio lugha ya pili inayotumiwa sana kisayansi. Ujerumani ni mshiriki mkubwa wa tatu katika utafiti na maendeleo na inatoa ushirika wa utafiti kwa wanasayansi kutoka nje ya nchi.
  • <b>Mawasiliano:</b> Maendeleo katika vyombo vya habari, habari na teknolojia ya mawasiliano yanahitaji mawasiliano ya lugha nyingi. Aina nyingi za wavuti ziko katika Kijerumani na ulimwenguni kote, Ujerumani iko katika nambari ya 5 kwa suala la uchapishaji wa vitabu vipya kila mwaka. Ujuzi wa ujerumani kwa hivyo hukupa ufikiaji wa habari. © Goethe-Institut/Bernhard Ludewig
    Mawasiliano: Maendeleo katika vyombo vya habari, habari na teknolojia ya mawasiliano yanahitaji mawasiliano ya lugha nyingi. Aina nyingi za wavuti ziko katika Kijerumani na ulimwenguni kote, Ujerumani iko katika nambari ya 5 kwa suala la uchapishaji wa vitabu vipya kila mwaka. Ujuzi wa ujerumani kwa hivyo hukupa ufikiaji wa habari.
  • <b>Utamaduni:</b> Kujifunza Kijerumani kutakupatia maono juu ya mtindo wa maisha, pamoja na matarajio na ndoto za watu kutoka nchi zinazoongea Kijerumani, na kukuza ufahamu wako. © Getty Images / Neil Guegan
    Utamaduni: Kujifunza Kijerumani kutakupatia maono juu ya mtindo wa maisha, pamoja na matarajio na ndoto za watu kutoka nchi zinazoongea Kijerumani, na kukuza ufahamu wako.
  • <b>Usafiri:</b> Fanya safari zako nyingi zaidi siyo tu kwenye nchi zinazoongea Kijerumani, bali kwenye nchi nyingine nyingi za Ulaya ambapo Kijerumani kinazungumzwa sana, hasa Ulaya Mashariki. © Getty Images/Manuel Gutjahr
    Usafiri: Fanya safari zako nyingi zaidi siyo tu kwenye nchi zinazoongea Kijerumani, bali kwenye nchi nyingine nyingi za Ulaya ambapo Kijerumani kinazungumzwa sana, hasa Ulaya Mashariki.
  • <b>Furahia vitabu, muziki, sanaa na falsafa:</b> Kijerumani ndiyo lugha ya Goethe, Kafka, Mozart, Bach na Beethoven. Pendelea kusoma na/au kazi zao zikiwa katika lugha yake ya asili. © Goethe-Institut/Loredana La Rocca
    Furahia vitabu, muziki, sanaa na falsafa: Kijerumani ndiyo lugha ya Goethe, Kafka, Mozart, Bach na Beethoven. Pendelea kusoma na/au kazi zao zikiwa katika lugha yake ya asili.
  • <b>Fursa za masomo/kufanya kazi nchini Ujerumani:</b> Ujerumani hutoa idadi kubwa ya ufadhili wa masomo na aina nyingine ya misaada kwa wanaosoma nchini Ujerumani. Viza za kufanya kazi wakati wa majira ya likizo hutolewa kwa vijana kutoka nchi mbalimbali za kigeni, na viza maaumu hutolewa kwa wafanyakazi na wataaluma wenye weledi. © Getty Images/Matthias Tunger
    Fursa za masomo/kufanya kazi nchini Ujerumani: Ujerumani hutoa idadi kubwa ya ufadhili wa masomo na aina nyingine ya misaada kwa wanaosoma nchini Ujerumani. Viza za kufanya kazi wakati wa majira ya likizo hutolewa kwa vijana kutoka nchi mbalimbali za kigeni, na viza maaumu hutolewa kwa wafanyakazi na wataaluma wenye weledi.
  • Gründe für Deutsch © iStock / Neustockimages