Her Hip Hop
Kikundi cha Hip-Hop cha akina dada wa kitanzania kilivyowezeshwa kujikita kwenye Soko la muziki Tanzania. Mapitio ya mafanyikio yatokanayo na mchango kutoka kwa Mfuko wa kuendeleza sanaa cha Ujerumani na Ufaransa.

Tanzanian Musicians watch out! The Music In Africa Conference for Collaborations, Exchange and Showcases (ACCES) invites African musicians based on the continent to apply for an opportunity to showcase at ACCES 2024 in Kigali, Rwanda, from 14 to 16 November. The application deadline is 15 April 2024 (midnight CAT).
Ngoma za kisasa! Je hiyo ni nini? Miondoko ya kushangaza? Miondoko ya dhahania (ya kufikirika? Si ya kawaida? Ya ajabu? Uelewi? Usijali utaelewa.