Goethe-Institut Tanzania hutoa semina na matukio mengine kwa walimu wa lugha ya Kijerumani.
Angalizo
Goethe-Institut Tanzania haitoi mafunzo ya ualimu wa Kijerumani. Hata hivyo, ili kukidhi vigezo vya kufundisha Kijerumani kama lugha ya kigeni, Goethe-Institut hutoa kozi inayotambulika kimataifa