Unaweza kupata nyenzo za mafunzo kwa vitendo kwa eneo la kusikiliza, kusoma, kuandika na kuongea hapa kukusaidia kujiandaa na mtihani wa Goethe-Zertifikat A2 .
Nyenzo unazoweza kupakua
A2 Seti ya mfano ya majaribio kwa watu wazima
A2 Seti ya mfano ya majaribio kwa watu wazima -- sikiliza sauti ya mfano ya moduli ya kusikiliza (22:35 Min.)
A2 Seti ya mfano ya majaribio kwa watu wazima -- tazama video ya mfano ya moduli ya kuongea (dakika 11:19.)
Speed 0.25x 0.5x normal 1.5x 2x
Font size default 50% 75% 100% 150% 200% 300% 400%
Font family default monospaced serif proportional serif monospaced sans serif proportional serif casual cursive small capital
Font color default white black red green blue cyan yellow magenta
Font opacity default 100% 75% 50% 25%
Character edge default raised depressed uniform drop shadowed
Background color default white black red green blue cyan yellow magenta
Background opacity default 100% 75% 50% 25% 0%
Window color default white black red green blue cyan yellow magenta
Window opacity default 100% 75% 50% 25% 0%
Spielen Mute
Picture-in-Picture Apple AirPlay Google Cast VR Settings Fullscreen logo Progressive stream type not supported or the stream has an error
(SOURCE_PROGRESSIVE_STREAM_ERROR)
© Goethe-Institut
A2 Set of practice exercises for adults
A2 Set of practice exercises for adults -- play the listening module sample audio (24:10 Min.)
Ungependa kujiandaa kwa kina zaidi?
Siyo kwamba tunaendesha tu mitihani ya Kijerumani bali pia tunafundisha Kijerumani. Ukweli ni kwamba, Goethe-Institut ndiyo taasissi inayoheshimika zaidi duniani kwa kutoa mafunzo ya Kijerumani.
Angalia kozi zetu za Kijerumani
Endapo unashindwa kupata kozi yoyote katika eneo lako, unaweza kufikiria kufanya mojawapo ya kozi zetu kwa njia ya masafa.
Jifunze Kijerumani kwa njia ya mtandao